The House of Favourite Newspapers

Shetta Afichua Mazito Ugomvi Wake Na Diamond, Auponda Muziki Wa Amapiano – Video

0

Staa wa kitambo wa Bongo Fleva, Shetta ‘Baba Kayla’, amefunguka kwamba siyo kwamba anawakataza wasanii wa Bongo Fleva kuimba Amapiano lakini kwa mtazamo wake, muziki huo umekuwa ‘too much’ kiasi cha kutishia kuipoteza Bongo Fleva.

Shetta amefunguka hayo kupitia Kipindi cha #Katambuga ambapo amefunguka mambo kibao kuhusu maisha yake.

Leave A Reply