The House of Favourite Newspapers

Shigongo Alivyomtambulisha Mkewe kwa WanaBuchosa – Video

0

MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Buchosa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eric Shigongo, leo Ijumaa, Septemba 25, 2020, amezindua rasmi kampeni zake za kunadi sera zake na kuomba kura kwa wananchi wa jimbo hilo ili waweze kumpa ridhaa ya kuwa mbunge kwa miaka mitano ijayo.

 

Wananchi wa Buchosa wamefurika kusikiliza kampeni za mgombea wao ili wafanye maamuzi sahihi katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 28, 2020.

 

Katika uzinduzi huo, Shigongo ameambatana na mkewe, Veneranda Ephraim, viongozi waandamizi wa CCM Wilaya ya Sengerema na Buchosa, mgombea ubunge wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku ‘Msukuma’ na aliyewahi kuwa mbunge wa Nyamagana na Waziri wa Mambo ya Ndani, Lawrence Marsha.

 

Leave A Reply