
MKURUGENZI wa Makampuni ya Global Group, Eric Shigongo, Mchungaji Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamiazji’ na Bishop Mwakiborwa wamakuleta SIKU TATU ZA PASSWORD YA UCHUMI ambayo kutakuwa namafundisho maalum kwa vijana kuhusu mbinu mbalimbali za kufanya biashara, kujiongezea kipato hasa katika uchumi huu tuliyo nao sasa, ili ufikie mafanikio uliyojiwekea.
Ni kuanzia Novemba 1, 2 na 4 mwaka huu 2018, kwenye Kanisa la Mito ya Baraka lililopo Kariakoo karibu na Jengo la Yanga, kuanzia saa 10:00 jioni.


Comments are closed.