The House of Favourite Newspapers

Shika Ndinga na Efm kurindima wikiendi hii

0

1

 

 

31-3.Baadhi ya picha za Shindano la Shika Ndinga mwaka jana, 2015.

Kituo cha Redio cha EFM  kilichopo Kawe jijini Dar, kinatarajia kurindima na Shindano la Shika Ndinga wikiendi hii kwa mashabiki wake wa Mkoa wa Dar es Salaam na Pwani kwa kuanza na Wilaya ya Temeke ambapo itaanza rasmi Aprili, 9 mwaka huu, (Jumamosi) kuanzia saa 3 Asubuhi hadi saa 10 Jioni katika Viwanja Mbagala- Zakhiem jijini Dar  .

Zawadi za zitakazotolewa kwa mashabiki ni ndiga aina ya Suzuki Carry pamoja na Pikipiki aina ya Boxer, aidha mashabiki wa Efm  wameombwa kuendelea kusikiliza vipindi vya kituo hicho ili kuja namna ya kushirika Shinda Ndiga hiyo.

Na Gabriel Ng’osha/GPL

Leave A Reply