The House of Favourite Newspapers

Shilole Aanika Ndinga Yake Mpya “Sijahongwa” – Video

0

MSANII wa Bongo Fleva na Mjasiriamali, Zuweza Mohammed maarufu kwa jina la Shilole ama Shishi Baby ameonyesha ndinga yake mpya aliyonunua huku akidai kuwa gari hilo hajahongwa badala yake amenunua kwa pesa zake mwenyewe.

 

Tukio hilo limejiri usiku wa kuamkia leo Jumatatu, Desemba 21, 2020, wakati Shilo alipokuwa akifanya sherehe ya kumbukizi ya kuzaliwa ya kwake.

 

Licha ya sherehe hiyo, Shilole pia alivalishwa pete ya uchumba na baby wake mpya ambaye pia ndiye mpiga picha wake, @rommy3d hii ikiwa ishara njema ya safari ya mapenzi yao.

 

Leave A Reply