The House of Favourite Newspapers

Etihad Tawi la Dar Lafuturisha baadhi ya wateja, Mawakala na Wadau

0

1

Mratibu wa Masoko na Msamizi wa Mauzo wa Shirika la Ndege la Etihad nchini Tanzania, Grace Festo Kijo akiwakaribisha wageni mbalimbali wakiwamo wateja, mawakala na wadau mbalimbali wa Shirika la Ndege la Etihad katika futari maalum iliyoandaliwa na shirika hilo mwishoni wa juma katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.

3

Baadhi ya wateja, mawakala na wadau wa Shirika la Ndege la Etihad Airways wakijumuika kupata futari maalum ambayo iliyoandaliwa mahususi na shirika hilo kwa ajili yao mwishoni mwa juma katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.

4

Mratibu wa Masoko na Msamizi wa mauzo wa Shirika la Ndege la Etihad Tanzania, Bi. Grace Festo Kijo (wa pili toka kushoto) akibadilishana mawazo na wadau mbalimbali wa Shirika la Ndege la Etihad katika hafla ya futari maalum iliyoandaliwa na shirika hilo mwishoni wa juma katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.

5

Kutoka kushoto, Naeem Razzaq na Ifnan Aslam wa Kampuni ya TT Worldwide wakigonga cheers na Meneja wa Marmara Travel Services TalibĀ  S. TalibĀ  katika hafla ya futari maalum kwa wateja, mawakala na wadau wa Shirika la Ndege la Etihad iliyofanyika katika Hoteli ya Serena wiki iliyopita.

Leave A Reply