The House of Favourite Newspapers

Shirika la Restless Lawataka Vijana Kuwa wabunifu wa Maendeleo

0
Watoa mada mbele walivyoonekana.
Kongamano hilo likiendelea.
Mmoja wa vijana akichangia jambo
Taswira ilivyoonekana ukumbini hapo.

 

Shirika la Restless Development Limewataka Vijana Kuwa wabunifu wa MaendeleoKongamano katika maeneo mbalimbali yanayowazunguka ili kuwawezesha katika fursa za kimaendeleo.

 

Kongamano hilo limefanyika leo katika Ukumbi wa Mikiutano uliopo katika jengo la Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam baada ya shirika hilo kufanya utafiti wao katika mikoa ya Dar es salaam, Iringa na Morogoro.

 

Katika mkutano huo ulijadili namna vijana wanavyopaswa kuwa na ufahamu na uelewa juu ya fursa wanazoweza kuzipata na kujikwamua kimaendeleo na uwepo hafifu wa kutafuta taarifa katika kujipatia maendeleo.

 

NA DENISĀ  MTIMA/GPL

Leave A Reply