The House of Favourite Newspapers

Video: Shoo Ya Marioo Fiesta Dodoma

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Marioo anayekuja kwa kasi usiku wa kuamkia leo Oktoba 20, 2019 ametoa burudani ya nguvu kwa mashabiki wake katika Tamasha la Tigo Fiesta 2019 ambalo limefanyika katika katika Uwanja wa Jamhuri Dodoma.

Comments are closed.