The House of Favourite Newspapers

SHUHUDIA HAWA JAMAA WANAVYOMUOKOA FUNDI – PICHAZ

BAADHI ya Wabongo tumekuwa na utaratibu usiofaa hasa kwenye shughuli za ufundi kwa kufanya kazi zetu bila kufuata misingi ya taaluma hiyo aidha kwa kukaidi au kupotezea (kuchukulia poa) ikiwemo kutokuvaa vifaa vya kazi wakati wa kutekeleza majukumu yetu.

Utakuta fundi ujenzi anafanya kazi zake pasipo kuvaa kofia ngumu, viatu vya ufundi, ovearoli (overall), miwani maalum, lakini pia utamkuta fundi umeme anashika ‘tester’ kuchokonoa nyaya za umeme pasipo tahadhari ya kuvaa’ gloves’ maalum, hivyo ikitokea ajali, watu hawa wamekuwa wakipoteza maisha.

Aidha, watu wamekuwa wakipoteza nyumba zao walizosumnbuka kujenga kwa miaka mingi zikiteketea kwa moto, magari yao kupata ajali za moto, pikipiki, maduka, ofisi, vifaa vya moto na vya majumbani.

SULUHISHO HILI HAPA

Katika msimu huu wa sikukuu, kampuni ya JEFFERJREE HARDWARE & MACHINERY, wamekuletea Techtion Helmet, Face Shield, Work Suit, Rain Coats Road Works, Safety Boots, Gum Boots, Gloves mbalimbali, Fire Extinguishers, Winter Jackets na Masks kwa ofa kabambe ya punguzo sawa na bure.

Hii ni kwa vifaa vyao vyote vya ujenzi, viwandani, migodini, majumbani, na barabarani kwa wanunuzi wa jumla na rejareja.

Mbali na hivyo wanapenda kuwataarifu wateja wao kuwa, kwa sasa wameboresha huduma zao hata kwa wale wanaohitaji bidhaa zao kutoka mikoani, watazipata kwa urahisi zaidi.

Vifaa jivi vinalenga kuokoa maisha ya mafundi katika hatari, kuokoa nyumba na vitu vingine wakati wa majanga ya moto (fire exinguishers).

 

Kwa mawasiliano zaidi fika makao makuu ya JEFFERJEE HARDWARE&MACHINERY COMPANY, Masaki, Makabala na Marybrown

Simu; 0753600099 au 0787522672 

Email; [email protected]

 

Comments are closed.