The House of Favourite Newspapers

Silaa Atoa Gari Lake Kumuwezesha Kikongwe Wa Miaka 98 Kulipwa Fidia Aliyodai Kwa Muda Mrefu – Video

0

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi,  Jerry Silaa amempa gari lake Bibi Mariam kikongwe ili limpeleke kwa Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza aweze kumlipa fedha alizokuwa anadai kama fidia ya eneo lake kwa muda mrefu.

Bibi huyo ameweza kupatiwa fedha yake yote kiasi cha Shilingi 5,476,350 papo hapo wakati wa Kliniki ya Ardhi iliyokuwa inafanyika katika Viwanja vya Ngamagana jiji Mwanza.

Leave A Reply