Simba Yatua Botswana Kufanya Maangamizi

Kikosi cha Wekundu wa Msimbazi, Simba SC, kimewasili Gaborone nchini Botswana salama salmini tayari kwa mchezo wa raundi ya kwanza kufuzu kwa hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika.

 

Simba imewasili nchini Botswana na kikosi cha wachezaji 24, tayari kwa mchezo wao dhidi ya Jwaneng Galaxy Siku ya Jumapili.

 

 

 

 

 

 

 

 

 2177
SWALI LA LEO

Kupanda Kwa Bei ya Mafuta Nchini, Nini Kifanyike Kupunguza Bei?
Toa comment