The House of Favourite Newspapers

Simba Yatua Dar Kwa Kishindo Kujiandaa Al Ahly – Video

0

KIKOSI cha Simba kimewasili salama Jijini Dar es Salaam asubuhi ya Leo Feb 19, 2020 na kwenda moja kwa moja Bunju kambini kwa ajili ya maandalizi ya mchezo ujao wa Kimataifa dhidi ya Al Ahly.

 

Simba walikuwa Kanda ya ziwa kucheza mchezo wao wa Ligi Kuu dhidi ya Biashara United na kujinyakulia pointi tatu Baada ya kushinda bao 1-0 lililofungwa na Bernard Morrison.

Leave A Reply