The House of Favourite Newspapers

Sokabet Buku tu inakupa milioni 100 wiki hii

0

KAMPUNI ya Sokabet ambayo inajihusisha na michezo ya kubashiri matokeo, inaendelea kufanya kweli ambapo kuna maelfu ya watu wanaendelea kujiunga kwa kasi kushiriki katika mchezo huo ambao unaweza kubashiri kwa kuingia katika tovuti ya www.sokabet.co.tz

 

Sokabet Jackpot inakupa Sh 100m

Habari nzuri ni kuwa dau la shilingi milioni 100 yaani Sh 100,000,000 kwa ajili ya wiki hii limetangazwa na wewe unayesoma hapa una nafasi ya kubeba mamilioni hayo kwa shilingi elfu moja tu (Sh 1,000).

 

Sokabet ambayo namba yake ya kampuni ni 335757 inakuwezesha kupata kiwango hicho kwa kushiriki katika kipengele cha Sokabet Jackpot ambacho kwa wiki hii unatakiwa kubeti kabla ya Jumamosi Septemba 2, saa 10:00 Jioni.

 

Sokabet Jackpot ni nini?

Hii ni aina ya ubashiri ambao unapewa idadi kadhaa ya mechi ubashiri, ukipatia zote unapata hadi Sh 100m. Ndani ya Sokabet utatakiwa kupatia matokeo ya mechi 13 tu.

 

Idadi ya mechi za jumla ni 16, hizo 3 nyingine ni za ziada tu ambazo haziwezi kuathiri zile 13 ulizobashiri. Hizo tatu za ziada zinawekwa ili zijumuishwe kwa dharura endapo itatokea kuna mechi ndani ya zile 13 haikufanyika au haikumalizika.

 

Ukikosea mechi chache ndiyo basi?

Sokabet haiwezi kukuacha hivihivi, hata kama ikitokea umekosea michezo michache bado utakuwa na nafasi ya kujiingizia fedha nyingi.

Mfano ikitokea wabashiri wamepatia michezo 12 kati ya 13 basi watapatiwa Sh milioni 5 (Sh 5,000,000) watakaopatia mechi 11 watapatiwa Sh milioni 2 (Sh 2,000,000). Mgawanyo wote wa Sokabet Jackpot kwa wikiendi hii upo hivi:

 

Mechi utakazopatia       Fedha utakazopata

13/13                                    Sh 100,000,000

12/13                                    Sh 5,000,000

11/13                                    Sh 2,000,000

10/13                                    Sh 1,000,000

9/13                                      Atashiriki bure Jackpot inayofuata

 

Kujiandikisha ni bure

Ni rahisi sana, ingia kwenye tovuti ya www.sokabet.co.tz kisha bonyeza sehemu ya ‘sign up’ yaani jisajili kwa mara ya kwanza. Hapo utajaza nafasi chache zilizo wazi, ukimaliza utatumiwa namba yako ya siri kwa njia ya SMS.

 

Baada ya hapo utajerea sehemu ya kuingia ndani yaani ‘LOGIN’, andika namba yako ya simu kisha ingiza namba ya siri ambayo ulitumiwa kwa njia ya SMS, ukifanikisha hilo utakuwa umeshaingia kwenye akaunti yako rasmi.

 

Utakaporejea baadaye kufungua tovuti hiyo, hutakuwa na haja ya kujiandikisha upya, badala yake utaingiza namba yako ya simu kisha namba ya siri tu basi.

Kuingiza fedha & kubashiri

Kabla ya kuanza kubashiri, kwanza ingiza fedha kwenye akaunti yako. Jinsi ya kuingiza fedha watumiaji wa Vodacom, bonyeza *150*00#, chagua namba 4 (lipa kwa M-pesa), chagua namba 4 (weka namba ya kampuni), ingiza namba ya kampuni ambayo ni 335757, kisha ingiza kumbukumbu ambayo ni neno ‘Soka’.

 

Baada ya hapo utaingiza kiasi unachotaka kuweka mfano Sh 1,000 au 2,000 na kuendelea, utamalizia kwa kuingiza namba yako ya siri na bonyeza namba 1 ili kukamilisha mchakato.

 

Kwa Tigopesa, kubonyeza *150*01#, chagua namba 4 (lipia bili), bonyeza namba 3 (ingiza namba ya kampuni), ingiza namba 335757, kisha ingiza kiasi cha fedha, ingiza neno ‘Sokabet’, malizia na namba yako ya siri ya Tigopesa.

 

Kwa Airtel bonyeza *150*60#, chagua namba 5 (lipia bili), bonyeza namba 4 (namba ya kampuni), ingiza namba 335757, kisha ingiza kiasi cha fedha, itakwambia ingiza kumbukumbu namba (hapa ingiza neno ‘Soka’), kisha namba yako ya siri ya Airtel money.

 

Hapo utakuwa umeshajaza salio kwenye akaunti yako ya Sokabet tayari kwa ajili ya kuanza kubashiri.

 

MECHI ZA SOKABET JACKPOT WIKI HII HIZI HAPA

 

Timu                                      Ushindi      Sare           Ushindi

  1. Zambia v Algeria            3.41           3.10           2.40
  2. Blackpool v Wimbledon    2.26                     3.43           3.01
  3. Bury v Scunthorpe     2.48           3.36                     2.73
  4. Doncaster v Peterborough 2.25 3.55           2.93
  5. Oldham v Charlton          3.36           3.01           2.11
  6. Southend v Rochdale       2.13           3.40           3.31
  7. Walsall v Plymouth       2.21           3.35           3.16
  8. Chesterfield v Coventry        2.92           3.23           2.48
  9. Lincoln City v Luton             2.93           3.24           2.40
  10. Swindon v Barnet             2.00           3.34           3.75
  11. Gabon v Ivory Coast    2.30           2.95           2.98
  12. Wales v Austria           2.20           3.15           3.47
  13. Ukraine v Uturuki                    2.25           3.10           3.41

 

Mechi za akiba

Timu                                      Ushindi      Sare           Ushindi

  1. Georgia v Ireland           5.39           3.43           1.73
  2. Finland v Iceland           4.60           3.35           1.85
  3. Hispania v Italia               1.83           3.37           4.64

Namba ya bahati 335757

Washiriki wanaoruhusiwa ni wenye umri wa kuanzia miaka 18, pia kumbuka namba 335757 ambayo ni ya Sokabet, hii ndiyo itakupa neema yote ya kukufanya umiliki mamilioni ya fedha, kwa msaada zaidi wasiliana na namba ya huduma kwa wateja ambayo ni 0654705555.

Leave A Reply