The House of Favourite Newspapers

Sokabet… Tabiri Bingwa Uvune Mamilioni

0
Chelsea wakishangilia bao.

SIKU chache tangu kuzinduliwa na kuanza kufanya kazi, tovuti ya www.sokabet.co.tz imekuwa kimbilio la washiriki wengi wa mchezo wa kubahatisha ambapo tayari wikiendi hii ya jana kuna watu wamevuna fedha kutokana na kupatia michezo waliyobashiri.

 

Chelsea wakishangilia ubingwa wa EPL.

Jambo zuri zaidi ni kuwa ndani ya Sokabet kuna mcihezo mingi zaidi ya soka na yote ni kivutio kwa washiriki wengi. Ndani ya tovuti hiyo unayo nafasi ya kuwekeza fedha ambayo utaipata mwisho wa msimu au katikati ya msimu huu kutokana na wewe kuchagua kipengele unachotaka.

Ndani ya tovuti ya www.sokabet.co.tz kuna vipengele vya kuchagua timu ipi inaweza kubwa bingwa katika ligi kuu ya nchi fulani.

 

 

Diego Costa akifanya yake.

Tabiri bingwa upate mkwanja

Ingia ndani ya tovuti hiyo, baada ya kuwa umeshajisajili na kufungua akaunti yako (kama bado hujajisajili, nitakuelekeza katika aya za mbele za makala haya) kisha upande wa kushoto wa tovuti hiyo utaona orodha ya ligi mbalimbali za Ulaya.

Unachotakiwa kufanya ni kuchagua ligi unayotaka kutabiri matokeo, mfano ukitaka Premier League, utaona imendika upande huo wa kushoto, bonyeza jina la ligi hiyo kisha zitatokea meche mbalimbali za ligi hiyo ambazo unaweza kubashiri pia chini yake utaona orodha ya timu zote za ligi hiyo zikiwa na pointi (odds) zake za kubeti.

Paul Pogba.

Katika hiyo orodha unaweza kuchagua timu unayotabiri inaweza kuwa bingwa kisha ukaweka fedha yako na kusubiri mwisho wa msimu uone itakuwaje, ndivyo hivyo katika ligi zote zilizopo kwenye orodha hiyo, mfano Serie A, Bundesliga na Championship.

Mfano halisi wa aliyepata mamilioni

Huko Ulaya katika kampuni ya huko, mwaka 2006 kuna shabiki wa Leicester City wakati msimu unaanza alibeti kuwa timu yake hiyo itakuwa bingwa kwa kuweka pauni 11 (Sh 31,000), anasema aliweka kama kujifurahisha tu na ikumbukwe timu hiyo ilikuwa haina muda mrefu tangu imepanda daraja.

 

Mwisho wa msimu shabiki huyo Martin Davies aliyekuwa na umri wa miaka 59, kweli timu yake ikafanya kweli na akajikuta akipata pauni 72,000 (Sh milioni 201).

 

POINTI ZA UBINGWA MSIMU WA 2017/18
La Liga

Real Madrid        1.67

Barcelona            2.50

Atletico                23

Sevilla                  151

Valencia               251

Athletic Bilbao    251

Villarreal              251

Real Sociedad     251

Malaga                 751

Eibar                    751

Real Betis             751

Espanyol              751

Celta Vigo            751

Alaves                  1001

Deportivo            1001

Las Palmas           1001

Levante                1001

Girona                  1001

Leganes                1001

Getafe                  1001

Mfano: Malaga bingwa kwa Sh 2,000 utapata Sh milioni 1.2

 

PREMIER LEAGUE

Man City              2.40

Man United        3.20

Chelsea                7

Tottenham          12

Arsenal                 17

Liverpool             17

Everton                67

Leicester City      251

Southampton     501

West Brom          501

West Ham           751

Stoke City            751

Newcastle           751

Huddersfield       751

Crystal Palace     1001

Swansea City      1001

Bournemouth     1001

Watford               1001

Burnley                1001

Brighton & Hove 1001

Mfano: Southampton bingwa, kwa Sh 2,000 utapata Sh laki 8

 

SERIE A

Juventus              1.80

Napoli                  4.

Milan                   7

Inter Milan 10

Roma                   13

Lazio                    81

Fiorentina            126

Atalanta               251

Torino                  251

Udinese               501

Sassuolo              751

Sampdoria          751

Genoa                  1001

Bologna               1001

Cagliari                 1001

Chievo                  1001

Verona                 1001

Benevento           1001

Crotone                1001

Spal                     1001

Mfano: Verona bingwa, kwa Sh 2,000 utapata Sh milioni 1.6

 

BUNDESLIGA

B.Munich             1.13

Dortmund            7.00

Leipzig                  26

Schalke                51

Hoffenheim         51

Leverkusen          81

Mo’gladbach       81

Werder Bremen  201

Hertha Berlin      251

Cologne               251

Frankfurt             251

Wolfsburg            501

Stuttgart              501

Hamburger          501

Mainz                   751

Hannover             751

Augsburg             751

Freiburg               751

Mfano: Wolfsburg bingwa, kwa Sh 2,000 utapata Sh laki 8

 

Kujiandikisha ni bure

Ingia www.sokabet.co.tz kisha bonyeza sehemu ya ‘sign up’ yaani jisajili kwa mara ya kwanza. Hapo utajaza nafasi chache zilizo wazi, ukimaliza utatumiwa namba yako ya siri kwa njia ya SMS.

 

Baada ya hapo utajerea sehemu ya kuingia ndani yaani ‘LOGIN’, andika namba yako ya simu kisha ingiza namba ya siri ambayo ulitumiwa kwa njia ya SMS, ukifanikisha hilo utakuwa umeshaingia kwenye akaunti yako rasmi.

 

Utakaporejea baadaye kufungua tovuti hiyo, hutakuwa na haja ya kujiandikisha upya, badala yake utaingiza namba yako ya simu kisha namba ya siri tu basi.

 

Kuingiza fedha na kubeti fanya haya

Watumiaji wa Vodacom, bonyeza *150*00#, chagua namba 4 (lipa kwa M-pesa), chagua namba 4 (weka namba ya kampuni), ingiza namba ya kampuni ambayo ni 335757, kisha ingiza kumbukumbu ambayo ni neno ‘Soka’.

 

Baada ya hapo utaingiza kiasi unachotaka kuweka mfano Sh 1,000 au 2,000 na kuendelea, utamalizia kwa kuingiza namba yako ya siri na bonyeza namba 1 ili kukamilisha mchakato.

 

Kwa Tigopesa, kubonyeza *150*01#, chagua namba 4 (lipia bili), bonyeza namba 3 (ingiza namba ya kampuni), ingiza namba 335757, kisha ingiza kiasi cha fedha, ingiza neno ‘Sokabet’, malizia na namba yako ya siri ya Tigopesa.

 

Kwa Airtel bonyeza *150*60#, chagua namba 5 (lipia bili), bonyeza namba 4 (namba ya kampuni), ingiza namba 335757, kisha ingiza kiasi cha fedha, itakwambia ingiza kumbukumbu namba (hapa ingiza neno ‘Soka’), kisha namba yako ya siri ya Airtel money.

 

Hapo utakuwa umeshajaza salio kwenye akaunti yako ya Sokabet tayari kwa ajili ya kuanza kubashiri.

 

Namba ya bahati 335757

Washiriki wa kubashiri watakuwa wenye umri wa kuanzia miaka 18, pia kumbuka unatakiwa kuiweka kichwani namba 335757 ambayo ni ya Sokabet, hii ndiyo itakupa neema yote ya kukufanya umiliki mamilioni ya fedha.

Na Mwandishi Wetu

Usipitwe na Matukio, Install ===>Global Publishers App

Leave A Reply