Soudy Brown Ataka kuvujisha Sauti ya Manara – Video

SamaKiba Foundation inayomilikiwa na msanii wa Bongo Fleva Ali Saleh Kiba na nahodha wa Taifa Stars ambay pia ni mchezaji wa KRC Genk ya Ubelgiji, Mbwana Samatta wameandaa Kampeni ya NIFUATE ambapo mashabiki wa mastaa hao watacheza mechi ya kirafiki Juni 2, mwaka huu lengo ikiwa ni kukusanya pesa ya kuwasaidia wanafunzi waishio katika mazingira magumu.

 

Wakizungumza na waandishi wa habari wasemaji wa pande zote mbili Timu Samatta (Haji Manara) na Timu Kiba (Soudy Brown) wamesema kuwa kampeni hiyo ambayo hivi sasa ipo msimu wa pili inatarajiwa kuwa na watu wengi ambao watasaidia kuhakikisha michango inapatikana ili kuwasaidia watoto hao.

VIDEO: MSIKIE SOUDY BROWN

Loading...

Toa comment