The House of Favourite Newspapers

Soulfood: Ikupa Mwambenja Ambulisha Wimbo Wake Mpya -Video

0

LEO Jumapili June 20, 2021 kwenye kipindi Cha Soulfood ameshiriki mwimbaji wa nyimbo za injili Ikupa Mwambenja akitambulisha wimbo wake aliomshirikisha Christina Shusho unaoitwa ‘Siwezi’

Ungana na watangazaji wako mahiri Dkt.Lucas Masungwa, Gladys Irenza(Pstr) na Gospel Dennis (Queen herself), kuanzia saa 12:00-03.00 Asubuhi kupitia Global TV

Leave A Reply