The House of Favourite Newspapers

“Spika Anayo Haki Ya Kumuita CAG, Bila Shaka Yoyote”- MARUPU

Baada ya Spika wa Bunge, Job Ndugai, kumtaka mkaguzi na Mdhibiti mkuu wa Hesabu za serikali (CAG) Profesa Mussa Assad,  kufika katika kamati ya Bunge ya Haki na Maadili, kumekuwa na mijadala mbalimbali juu ya uhalali wa Spika kumuita CAG.

Global TV imefanya mahojiano na mchambuzi wa Masuala ya kisiasa na uchumi, Maliki Marupu, ili kupata ufafanuzi wa kikatiba kuhusu uhalali wa agizo la spika.

JIUNGE NA FAMILIA YA GLOBAL TV UPANDE MTANDAO WA MAFANIKIO

Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club ==> Global TV Family Club

Comments are closed.