The House of Favourite Newspapers

BREAKING: Mume wa AMBER RUTTY Adondoka Mahakamani! – VIDEO

Mume wa Mwanamuziki Amber Rutty anayefahamika kwa jina la Davil amedondoka na kupoteza fahamu katika viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Januari 10.

Mwanamuziki Amber Rutty na Mumewe huyo, walifika Mahakama hapo kwa ajili ya kusikiliza kesi inayomkabili ya kusambaza video zenye maudhui ya ngono mitandaoni.

Kesi hiyo imeahirishwa mpaka Februari 12, mwaka huu wa 2019.

JIUNGE NA FAMILIA YA GLOBAL TV UPANDE MTANDAO WA MAFANIKIO

Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club ==> Global TV Family Club

Comments are closed.