The House of Favourite Newspapers

SPIKA NDUGAI Aosha Magari ili Kupata Bilion 3 – Video

Spika wa Bunge, Job Ndugai ameendesha zoezi la kuosha magari ya wabunge ili kuhamasisha uchangiaji wa fedha kiasi cha Tsh. Bilioni 3 zitakazosaidia kujenga vyoo kwa matumizi ya watoto wa kike wenye mahitaji maalum nchini.

 

Shughuli hiyo imefanyika katika uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma na kufanikiwa kukusanya kiasi cha shilingi milioni 17.2.

VIDEO: FUATILIA TUKIO HILO HAPA

Comments are closed.