The House of Favourite Newspapers

SPOTI HAUSI: KAKOLANYA Ampigia Magoti ZAHERA – VIDEO

KIPINDI cha Spoti Hausi leo kitakuwa hewani ambapo wachambuzi wako watakuwa na wanamichezo wawili mahiri nchini Tanzania.

Kwanza tutakuwa na kipa wa Yanga na timu ya Taifa, Beno Kakolanya, ambaye atazungumza mambo mengi ikiwemo sakata lake na kocha wake Mwinyi Zahera, lakini baada ya hapo tutakuwa na Bondia Dullah Mbabe ambaye hivi karibuni alimchapa Francis Cheka, unataka kujua mengi kaa nasi kuanzia saa 10:00 jioni.

 

Comments are closed.