The House of Favourite Newspapers

LIVE SPOTI HAUSI: Uchambuzi Mechi ya Simba na Yanga

Ikumbukwe kuwa, Jumapili hii, Yanga itacheza na Simba kwenye Uwanja wa Taifa, Dar ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Bara ambapo katika kujiandaa na mchezo huo, timu hizo zote zimepiga kambi mkoani Morogoro.

Comments are closed.