The House of Favourite Newspapers

Stamina Awafungukia Wanafki Kwenye Maisha Yake

0

MKALIwa Hip Hop Bongo, Bonaventure Kabogo ‘Stamina’ amesema yeyote anayeleta unafiki kwenye maisha yake huwa ana mblock.

 

Akizungumza na AMANI hivi karibuni, Stamina alisema kati ya watu ambao huwa hana mpango nao ni watu wenye hulka ya kung’ata na kupuliza (wanafki).

 

“Kwenye maisha yangu ukiniletea unafki mimi nakutia block tu, kwa sababu sina mchongo na mtu mnafki kabisa, huwa naelewana na watu ambao wanajielewa,”alisema Stamina.

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx


 

Leave A Reply