The House of Favourite Newspapers

Steji ya Wasafi Festival Mtwara Usipime!

Hili ndilo jukwaa litakalotumika kwa uzinduzi wa tamasha la Wasafi Festival ndani ya Uwanja wa Nangwanda Sijaona hapa Mtwara.
Muigizaji wa Bongo Movie, Aunt Ezekiel  akiwa na mpenzi wake, Mose Iyobo,   wakitesti mitambo ndani ya Uwanja wa Nangwanda Sijaona mchana na leo kabla ya Uzinduzi wa Wasafi Festival usiku wa leo.

Tamasha la Wasafi Festival linafanyika leo katika Uwanja wa Nangwanda Sijaona kwa wakazi wote wa Mtwara na mikoa ya Kusini.

Baadhi ya wasanii watakaotumbuiza katika tamasha hilo ni Diamond, Harmonize, Rayvanny, Dudu Baya, Country Boy, Lava Lava, Young Killer, Navy Kenzo, Chin Bees, Mbosso, Queen Darling, mchekeshaji Dulvan na wengine kibao.

PICHA NA MUSA MATEJA | MTWARA -GPL

CLOUDS FM waeleza Sababu za Tigo Fiesta Kufutwa Dar

Comments are closed.