The House of Favourite Newspapers

Steve: kwa kasi ya Magufuli, mastaa wamekwisha

steveKomediani maarufu Bongo,Steven Mengere ‘Steve Nyerere’.

Na Imelda Mtema

NENO! Komediani maarufu Bongo,Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amefunguka kuwa kwa kasi na kauli mbiu ya Rais John Magufuli ya ‘Hapa Kazi Tu’, mastaa ambao hawatajishughulisha kufanya kazi watakuwa wamekwisha maana wataikimbia fani wenyewe.

Steve aliliambia gazeti hili kuwa, katika kipindi hiki kama msanii hatafanya kazi kwenda sawa na kauli ya Magufuli itakuwa ni shida kuendesha maisha kwa kutegemea sanaa.

Comments are closed.