The House of Favourite Newspapers

Steve Nyerere Atema Nyongo Sakata La Bandari Kuuzwa – Video

0

Msanii na Mchekeshaji Steve Nyerere amewavaa wanaodai kuwa mkataba wa Bandari siyo rafiki kwa watanzania.

Steve amewataka watanazania kuitumia fursa hii kwani ni Dhahabu kwao na waache kupinga vitu wasivovijua undani wake.

Steve ameweka wazi kuwa Serikali hii inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imeweka wazi jambo hilo hii inamaana kuwa nchi inawapenda watu wake na siyo kama nchi nyingine zinavyoendeshwa.

Leave A Reply