The House of Favourite Newspapers

“Super Heli” Kasino Kutoa TV na Bonasi za Beti za Bure

0

Baada ya kukupa taarifa za ujio wa mchezo mpya wa kasino mtandaoni wenye muonekano kama ule wa Aviator lakini huu wenyewe unarusha ndege aina ya Helikopta kwa dau la kuanzia 100 TZS.

Kutoka kwa watengenezaji wa michezo ya kasino mtandaoni kampuni ya Expanse Studios, Super Heli kasino imekuja na zawadi kibao ukicheza leo unaweza kuibuka na TV inch 55, Smartphone kibao, bonasi kibao, na beti za bure zenye thamani mpaka ya 200,000/= TZS.

Maelezo ya Kina Kuhusu Super Heli Kasino Mtandaoni.

Super Heli ni mchezo wa Kasino Mtandaoni una vipengele vya kushangaza, muonekano wenye rangi nzuri, unakupa fursa ya kushinda kwa dau dogo kuanzia 100 TZS hadi 10000 TZS. JISAJILI MERIDIANBET kufurahia uhondo wa mchezo huu.

Mchanganuo wa Zawadi na Ushindi.

Super Heli mchezo wa kasino mtandaoni kutoka kwa Expanse Studios. Katika mchezo huu, utapata bonasi kubwa. Kuna malipo ya pesa taslimu papo hapo, na hata mizunguko ya bure.

Kwa kuanza kabisa mchezo huu utaanza kwa kuweka dau lako, kisha unabonyeza kitufe cha kurusha Helikopta kisha itaanza kuhesabu ODDS, kadri inavyozidi kupaa ndiyo ambavyo unajiongezea maokoto mengi, ili kushinda kiwango kikubwa unatakiwa kucheza dau kubwa na kusubiri Odds ziwe nyingi na ukatishe safari yako.

Wachezaji bora wakati wa promosheni ya Super Heli watapokea zawadi zifuatazo kutoka Meridianbet:

Nafasi ya 1 – Samsung TV inchi 55.
Nafasi ya 2 – Samsung A24.
Nafasi ya 3 na ya 4 – TZS 200,000 beti za bure.
Nafasi ya 5-6 – TZS 100,000 beti za bure.
Nafasi ya 7-10 – TZS 50,000 beti za bure.

NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

Leave A Reply