The House of Favourite Newspapers

Live: Mapokezi Ya Ndege Mpya, Boeing 737 Max 9, Dar

0

Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa Oktoba 2, 2023 amezungumza na waandishi wa habari kuhusu mapokezi ya ndege mpya, Boeing 737 Max 9 ambapo amesema Zanzibar Airport inahudumia ndege nyingi kuliko Dar es salaam Airport na kusema anga bado halijajaa kupokea ndege zaidi.

“Airport Duniani kila baada ya dakika 5 kuna ndege lakini Airport ya Dar es salaam unaweza kukaa saa nzima hujaona ndege, kwa Tanzania Airport ambayo iko busy ni Zanzibar sio Dar es salaam, Zanzibar miruko ni mingi kuliko Dar es salaam na bado anga halijajaa” amesema Prof Mbarawa.

Leave A Reply