The House of Favourite Newspapers

Taarifa ya Uchunguzi Kuhusu Umiliki wa Airtel Yawasilishwa kwa JPM

Serikali imesema ubinafsishaji wa Kampuni ya Airtel uligubikwa na ukiukwaji wa heria, Kanuni na Taratibu. Mazungumzo kufanyika ili nchi ipate haki yake ambapo kwa sasa Serikali inamiliki 40% ya hisa za Kampuni hiyo ambayo inamiliki 60% ya hisa zilizobaki.

Waziri wa Katiba na Sheria, Prof. Kabudi amewasilisha Kanuni za Sheria ya Madini namba 7 ya mwaka 2017 kama alivyotakiwa kufanya hivyo kabla ya Ijumaa na Rais Magufuli ambapo vitabu na nyaraka hizo zimepokelewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi.

Comments are closed.