The House of Favourite Newspapers

Tabora: Awachinja Watoto na Kuwazika Ndani, Aiba Ng’ombe

0

Kijana mmoja anatuhumiwa kuua Watoto wawili wa kiume wenye umri wa miaka 12 ambao aliwarubuni na kuchukua ng’ombe walizokuwa wakichunga.

Tukio hilo limetokea Julai 11, 2021 ambapo Kamanda wa Polisi Mkoani Tabora, Safia Jongo, amesema ni la kikatili na ni heri angewafunga kamba tu.

Imeelezwa mtuhumiwa aliwarubuni na kuwapeleka Watoto hao kwa Bibi yake. Baada ya kutekeleza unyama huo aliwazika ndani ya nyumba.

Leave A Reply