×

Tag: ajali

Waliobebana Mshkaki Wafariki kwa Kugongwa na Fuso

WATU watatu waliokuwa wamebebana kwenye pikipiki (Mshikaki) wamefariki dunia papo hapo baada ya kugongwa na fuso lenye namba za usajili...

READ MORE

Basi la Mwendokasi Lagonga Pikipiki, Laua Wawili

WATU wawili wamefariki dunia kwa ajali iliyohusisha basi la mwendokasi na pikipiki. Kwa mujibu wa Kamanda wa polisi Kanda Maalum...

READ MORE

DED Malinyi Apata Ajali

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi (DED), Mkoa wa Morogoro, Joanfaith Kataraiya na dereva wake wamejeruhiwa katika ajali...

READ MORE

Tanzia: Mwandishi wa Azam Media Afariki Dunia

Mwandishi wa habari wa Azam Media mkoa wa Kagera, Nicolaus Ngaiza amefariki dunia saa nne usiku jana Jumapili badaa ya...

READ MORE

Wanne Wafariki kwa Ajali Kagera

WATU wanne ambao majina yao hayakupatikana haraka wamefariki dunia na wengine 33 kujeruhiwa baada ya basi la kampuni ya Fikosh...

READ MORE

Mwana FA Afunguka Alivyonusurika Kwenye Ajali Usiku – Video

  Mbunge wa jimbo la Muheza Hamis Mwinjuma maarufu Mwana FA, amepata ajali ya gari eneo la Mkambalani mkoani Morogoro...

READ MORE

Watu 8 Wafa kwa Kuangukiwa na Winchi

Watu wanane wakiwemo raia wawili wa China wameuawa mjini Nairobi Kenya kufuatia ajali ya korongo au winchi yaani mtambo wa...

READ MORE

Miili ya Watumishi Watano TRA Yaagwa – Video

  Vilio na majonzi vimetawala leo hii  Agosti 24, 2021, katika viwanja vya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoani Mbeya,...

READ MORE

Watumishi TRA Waliofariki kwa Ajali Watajwa Majina Yao

Wafanyakazi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA wamefariki dunia kutokana na ajali ya gari aina ya Landcruiser yenye nambari za...

READ MORE

Basi la Sauli Lapata Ajali Kibaha, Wanne Wajeruhiwa

WATU wanne wamejeruhiwa na wengine 40 kunusurika baada ya kutokea ajali ya basi la kampuni ya Sauli eneo la Picha...

READ MORE

Breaking: Watumishi Watano wa TRA Wafariki kwa Ajali

Watumishi watano wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kikosi kazi cha Fast Track wamefariki kwa ajali katika eneo la Hanseketwa...

READ MORE

Katavi: Wawili Wafariki Dunia kwa Ajli, Uku 25 Wajeruhiwa

WATU wawili wamefariki dunia na wengine 25 kujeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya Sea kugongana na lori katika kijiji...

READ MORE

Gari la JWTZ Lagongana na Lori, Watu 10 Wafariki

AJALI mbaya imetokea na kuua watu 10 huku wengine 8 wakijeruhiwa baada ya gari la Jeshi la Wananchi wa Tanzania...

READ MORE

Ajali: DC Msando Ahamishiwa Muhimbili

Watu watano wamejeruhiwa katika akiwemo Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Albert Msando na Mkuu wa Wailaya ya Ulanga, Ngollo Malenya...

READ MORE

Dereva Aliyeua Wanafunzi Wawili Atakiwa Kujisalimisha

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaama linamtaka dereva wa gari aina ya Scania ambaye hajajulikana jina lake...

READ MORE

Wanafunzi Wawili Wafariki kwa Kugongwa na Gari Dar

WATU wawili ambao ni wanafunzi wamefariki dunia baada ya kugongwa na gari aina ya Scania wakiwa stendi maeneo ya Afrikana...

READ MORE

Ajali; Watu Watano Wafariki Dunia Kagera

Watu watano wamepoteza maisha katika ajali ya gari eneo la Kasindaga, Biharamulo, Kagera baada ya basi la abiria kugongana uso...

READ MORE

Ajali ya Magari Matatu Yaua 5 na Kujeruhi 6

Watu watano wanahofiwa kufariki dunia na wengine sita kujeruhiwa vibaya kwenye ajali ya barabarani eneo la Nyambari, Lari kaunti ya...

READ MORE

Membe Apata Ajali Lindi

Mwanasiasa mashuhuri nchini ambaye aliwahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje akiwa CCM na mwaka 2020 kugombea urais wa Jamhuri...

READ MORE

Breaking: Ajali Yateketeza Maabara Sekondari ya Geita

AJALI mbaya imetokea usiku wa kuamkia leo Jumatano, Julai 7, 2021, baada ya moto kulipuka katika jengo la maabara ya...

READ MORE

Lori Nusura Liue Watu Ubungo – Video

LORI la mizigo aina ya Scania lenye namba za usajili T 106 DKD nusura liue watu baada ya kutokea ajali...

READ MORE

Wanne Wafariki Dunia, 20 Wajeruhiwa Ajali Ya Basi Shinyanga

WATU wanne wamefariki dunia katika ajali ya basi Kampuni ya Classic lenye namba za usajili binafsi Salum Rashidi Classic (SRC...

READ MORE

Basi la Classic Lapata Ajali, Watatu Wafariki

WATU watatu wanahofiwa kufariki dunia huku wengine wengine zaidi ya 30 wakijeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya Classic kupata...

READ MORE

Breaking: Waziri Apigwa Risasi

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi nchini Uganda, Jenerali Katumba Wamala amenusurika kifo baada ya gari lake kushambuliwa kwa risasi na...

READ MORE

Askari Afa Maji Akimkimbiza Mtuhumiwa

Askari Polisi, Isaya Kawogo amefariki dunia baada ya kuzama katika Ziwa Victoria wakati akimkimbiza mtuhumiwa wa ujambazi.   Hayo yameelezwa...

READ MORE

Mashine ya Bandari Yatumbukia Yaharini

Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) inaujulisha Umma kuwa, Jumapili tarehe 23 Mei 2021, Majira ya saa 8 Mchana...

READ MORE

Mexico: 23 Wafariki Baada ya Fly-over Kuporomoka

Takriban watu 24 wamefariki dunia na wengine 79 kujeruhiwa baada ya sehemu ya barabara ya juu (flyover) kuporomoka na kusababisha...

READ MORE

Mkuu wa Shirika la Reli Misri Ajiuzulu Baada ya Ajali Kuua Watu 11

Mkuu wa Shirika la Reli la Misri amejiuzulu baada ya kutokea ajali ya tatu ya treni nchini humo katika kipindi...

READ MORE

Ajali ya Treni Yaua Watu 11

Watu 11 wamefariki dunia na wengine 98 wamejeruhiwa katika ajali ya treni iliyotokea karibu na mji mkuu wa Misri, Cairo....

READ MORE

Basi la Machame Laua 6 kwa Ajali, 19 Wajeruhiwa

Watu 6 wamefariki dunia huku wengine 19 wakijeruhiwa baada ya basi la Machame Investment walilokuwa wakisafiria kutoka Dodoma kuelekea Arusha...

READ MORE

Simanzi! Mama, Watoto 4 Wadaiwa Kufariki Wakiaga Mwili wa JPM

SIMANZI, huzuni na majonzi vimetawala nyumbani kwa familia ya Daudi Mtuwa iliyopoteza watu watano wanaodaiwa kufikwa na umauti katika shughuli...

READ MORE

Mkurugenzi Apata Ajali

  MKURUGENZI wa Taasisi ya Doris Foundation, Doris Mollel, amepata ajali leo maeneo ya Mtumba Dodoma alipokuwa akitoka kwenye kikao...

READ MORE

Mbunge Nyongo Apata Ajali – Video

Mbunge wa Maswa Mashariki Stanslaus Nyongo amepata ajali Maeneo ya mkalama Mkoani Singida akiwa njiani kuelekea Meatu kwenye Mazishi ya...

READ MORE

Ajali: United Airlines Yasitisha Safari za Boeing 777

SHIRIKA la ndege la United Airlines la Marekani limesema linasitisha safari za ndege zake 24 aina ya Boeing 777 baada...

READ MORE

Watu Zaidi ya 60 Wafariki Dunia Ajali ya Boti

WATU zaidi ya 60 wameripotiwa kufariki dunia baada ya boti waliokuwa wakisafiria kupinduka na kuzama katika mto Congo nchini Jamhuri...

READ MORE

Ajali Basi la Coast Line, Watano Walazwa, 16 Waruhusiwa

WATU watano waliokuwa wamelazwa katika Hospitali ya Nyerere, jana kutokana na ajali ya basi la kampuni ya Coast Line lililokuwa...

READ MORE

Watu 32 Wafariki Katika Ajali ya Magari Matano

WATU 32 wamepoteza maisha na wengine watano kujeruhiwa vibaya, baada ya ajali kutokea usiku wa kuamkia leo ikihusisha magari matano...

READ MORE

Breaking: Katibu Tawala wa Arusha Afariki Ajalini

KATIBU tawala Mkoa wa Arusha, Richard Kwitega amefariki katika ajali ya gari leo Jumatano Februari 3, 2021 wakati akitoka mkoani...

READ MORE

Wachezaji 4, Rais, Rubani Wafariki kwa Ajali ya Ndege Brazil

WACHEZAJI wanne akiwemo rais wa klabu ya soka ya Palmas, Brazil, na rubani wamefariki katika ajali ya ndege ndogo jana,...

READ MORE