×

Tag: ajali

Lori la Mafuta Lagonga Mti na Kupinduka Shinyanga

WATU wawili wamejeruhiwa baada ya Lori la mafuta gari lenye namba za usajili T674 BAA aina Tanker lenye tela lenye...

READ MORE

Moro: Lori Laangukia Coaster, Watu Kadhaa Wahofiwa Kufa

WATU kadhaa wanahofiwa kufariki dunia kwa kubanwa ndani ya gari baada ya lori kuliangukia basi dogo la abiria (coaster) katika...

READ MORE

Visanduku Vyeusi vya Air India Vyapatikana

WAPELELEZI wamepata visanduku vyeusi vya ndege iliyoanguka katika uwanja wa ndege jimbo la Kusini mwa India Kerala na kusababisha vifo...

READ MORE

Ndege ya India Yaanguka, Yaua Watu 18

NDEGE ya abiria ya Shirika la Air India aina ya Boeing 737 iliyokuwa na watu 190 imeanguka katika uwanja wa...

READ MORE

Breaking: 10 Wafariki Boti Ikizama Ziwa Tanganyika

WATU 10 wamefariki dunia na wengine 87 wakiokolewa, baada ya boti iliyokuwa ikitokea maeneo ya Sibosa kupigwa na dhoruba kisha...

READ MORE

Kyela Express Lapinduka, Laua Mtu Mmoja

POLISI Mkoa wa Mbeya wanamshikilia dereva wa basi la Kampuni ya Kyela Express Denis Lameck  (48) aliyekuwa akiendesha basi lenye...

READ MORE

Watu 140 Wafariki kwa Mafuriko China

SERIKALI imesema mafuriko mabaya zaidi kutokea ndani ya miaka zaidi ya 30 nchini China  yamesababisha vifo vya watu takriban 140,...

READ MORE

Bwana Harusi Apata Ajali Kabla ya Shughuli, Ndoa Yafungwa Hospitali

Ukiambiwa uelezee ni mambo gani ambayo hufanyika hospitalini, bila shaka harusi haitakua miongoni mwa mambo utakayoyataja, ila mambo yalikua tofauti...

READ MORE

Dereva wa Prezdar Aliyesababisha Vifo vya Watu 10 Anaswa

JESHI la Polisi Kitengo cha Usalama Barabarani mkoa wa Iringa limefanikiwa kumkamata dereva wa basi la Prezdar, Said Abas Said...

READ MORE

Afariki Akimwokoa Mwanaye Nyumba Ikiteketea

INASIKITISHA sana! Mwanamke mmoja amemwokoa mtoto wake kwa kumrusha kupitia kibarazani wakati ajali kubwa ya moto uliotokea na kuteketeza nyumba...

READ MORE

Watu 40 Wanusurika Kifo Ajali ya Basi Singida

WATUA 40 waliokuwa wakisafiri kwa Basi la Big Nation lenye namba T 721 DEN kutoka Dar es Salam kwenda Kahama...

READ MORE

Gari ya TANAPA Yadaiwa Kugonga na Kuua Watatu Babati

WATU watatu wamekufa katika ajali ya barabarani iliyotokea katika kata ya Mamire wilayani Babati mkoani Manyara.   Akitoa taarifa jana...

READ MORE

Gari Yagonga Gari, Bajaji na Kuua

Mnamo tarehe 08.06.2020 majira ya saa 10:00 Asubuhi huko eneo la Nzovwe, Kata ya Itende, Tarafa ya Iyunga, Jijini Mbeya...

READ MORE

Geita: 5 Wafariki, 14 Wajeruhiwa Basi la Maiti Likigonga Lori – Video

WATU watano wamefariki dunia na wengine 14 kujeruhiwa baada ya gari la abiria aina ya Coaster kuligonga lori la mizigo...

READ MORE

Ajali Gari Yaua Watu 6 Pwani

WATU sita wamefariki dunia katika ajali ilitokea usiku wa kuamkia jana eneo la Vigwaza, Chalinze mkoani Pwani, barabara kuu ya...

READ MORE

Abood Lagongana na Lori la Mafuta, Lateketea, Mmoja Afariki – Video

Mtu mmoja amefariki dunia usiku wa kuamkia jana leo usiku Aprili 20, 2020,  baada ya Basi la Kampuni ya Abood...

READ MORE

Watumishi Wawili wa TPA Wafariki kwa Kutumbukia Baharini

Watumishi watatu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania wamefariki juzi usiku baada ya gari waliyokuwa wakitumia kwenye doria kuacha njia na...

READ MORE

Basi la Kamwana’s Lateketea kwa Moto – Video

AJALI mbaya imetokea mapema leo Jumatano, Aprili 15, 2020, baada ya basi la abiria mali ya Kampuni ya Kamwana’s Express...

READ MORE

Rais JPM Awalilia 18 Waliofariki kwa Ajali Kibiti

RAIS John Magufuli ametuma salam za rambirambi kwa ndugu, jamaa na marafiki wa watu takribani 18 waliopoteza maisha katika ajali...

READ MORE

Breaking: Ajali Yaua 18 Kibiti Mkuranga

WATU 18 wamefariki na wengine 15 kujeruhiwa baada ya magari mawili kugongana katika kijiji cha Kilimahwewa Wilaya ya Mkuranga mkoani...

READ MORE

Watano Wafariki kwa Ajari Katika Daraja Lililovunjika Moro – Video

Watu watano wamefariki dunia na wengine sita kujeruhiwa baada ya magari mawili waliokuwa wakisafiria kugongana na kisha kutumbukia katika Daraja...

READ MORE

Ajali ya Treni Yaua Watumishi Watano wa TRC

  Uongozi wa Shirika la Reli Tanzania – TEC unatangaza taarifa za Vifo vya watumishi 5 wa TRC. Vifo hivyo...

READ MORE

Moto wa Gesi Wateketeza Nyumba Moro, Waandishi 4 Wajeruhiwa

WAANDISHI wa habari wanne Mkoani Morogoro wameungua moto wakati wakifuatilia tukio la nyumba kuwaka moto katika eneo la Msamvu Mizambarauni,...

READ MORE

Sherehe za Yanga Zasababisha Majeruhi Watatu

Mganga wa zamu katika Hospitali ya Wilaya ya Tunduru aliyefahamika kwa jina moja Kayombo amethibitisha kupokea majeruhi watatu waliopata ajali...

READ MORE

Ajali ya Lori na Basi Mwandege Mkuranga Yajeruhi

Lori la Mchanga lililokuwa likielekea Mkuranga limegongana uso kwa uso na daladala linalofanya safari zake Temeke kuelekea Kisemvule katika kijiji...

READ MORE

Lori la Dangote Lagongana na Noah, Watu 7 Wafariki Dunia

WATU saba wamefariki dunia papo hapo baada ya gari dogo aina ya Toyota Noah kugongana uso kwa uso na Lori...

READ MORE

Wawili Wafariki Ajalini, 22 Wajeruhiwa

WATU wawili wamepoteza maisha na ishirini na mbili kujeruhiwa wakati basi la Kampuni ya Struggle linalofanya safari zake kutoka Arusha...

READ MORE

Breaking News: Moto Wateketeza Maduka Tegeta-Nyuki Dar

MADUKA saba katika soko la Tegeta-Nyuki Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam yameteketea kwa moto leo asubuhi Februari 18,...

READ MORE

Basi la Premier Line Lagongana na Lori

Basi la kampuni ya Premier Line linalofanya safari zake kati ya Mwanza na Mbeya limegongana uso kwa na lori lenye...

READ MORE

Bad News: Askari Watatu Wafariki kwa Kugongwa na Basi

POLISI watatu mkoani Njombe wanasadikiwa kuwa wamefariki dunia baada ya ajali iliyohusisha basi la kampuni ya Shalomu na gari la...

READ MORE

Mwanamke Afariki Baada ya Kuruka Kwenye Ambulance

MWANAMKE Naiso Leslie (26) amefariki baada ya kuruka kutoka kwenye gari la wagonjwa baada ya mtoto wake Solomon Lesie (2)...

READ MORE

Waliofariki Ajali ya Kobe Bryant Waongezeka, Mawasiliano Yanaswa

TAARIFA za vyombo vya usalama nchini Marekani zinasema kuwa waliofariki mpaka sasa  katika ajali ya helikopta iliyotokea jana huko Los...

READ MORE

Ndege Yaanguka Barabarani

ZAIDI ya watu 100 wamenusurika kufa baada ya ndege ya abiria kuanguka katikati ya barabara katika mji wa Mahshahr nchini...

READ MORE

Breaking: Ajali ya Basi, Gari Dogo, Pikipiki Yaua Wawili Shinyanga

WATU wawili wamefariki dunia na wengine saba wamejeruhiwa katika ajali iliyotokea mapema leo Jumatatu, Januari 13, 2020, asubuhi mkoani Shinyanga, ikihusisha...

READ MORE

Video: AJALI Mbaya ILIVYOUA MTU SINZA LEO, MASHUHUDA Wasimulia TUKIO Zima..

 Mtu mmoja mwanaume amefariki dunia asubuhi ya leo Jumamosi Januari 11, 2019 maeneo ya Sinza Mori baada ya kugongwa...

READ MORE

Mwanafunzi Aliyepata Div. 1 ya 7 Afariki Akitoka Kutazama Matokeo

MWANAFUNZI Honest Mulokozi Juventus aliyekuwa akisoma katika Seminari ya Rubya iliyopo Parokia ya Kasambya, Jimbo Katoliki la Bukoba mkoani Kagera, amefariki...

READ MORE

Basi Lapinduka Morogoro, 9 Wajeruhiwa

  WATU 9 wamejeruhiwa baada ya basi walilokuwa wakisafiria la kampuni Kidinilo kuacha njia jana Alhamisi Januari 9, 2020 na...

READ MORE

Gari Dogo Lagonga Treni Vingunguti

Gari Dogo limeigonga Garimoshi lililokuwa linatoka Dar es Salaam kuelekea Mpanda, Kigoma, Mwanza na Tabora.   Ajali hiyo imetokea leo...

READ MORE

Boti Yazama, 50 Wanusurika Kifo

ABIRIA zaidi ya 50 wamenusurika kufa baada ya boti yao iliyokuwa ikisafiri kutoka Kilindoni – Mafia kwenda Nyamisati – Kibiti...

READ MORE

6 Wafariki Lori na Basi Yakigongana Dodoma – Video

WATU sita wamefariki dunia na wengine 12 kujeruhiwa baada ya lori na basi dogo la abiria kugongana jana Jumapili, majira...

READ MORE