
Browsing Tag
	
	Basata
Mr Nice Aipongeza BASATA
				MKONGWE wa Bongo Fleva aliyetamba miaka ya 2000 kwa staili yake ya Takeu, Lukas Mkenda 'Mr Nice' amefunguka na kuwaasa wasanii wenzake kuimba vitu vyenye msingi ili wasipotishe mashabiki wao wanaowatazama.…			
				Bongo Fleva Kupaa Kenya Kushiriki Mkutano wa Wasanii
				 
BAADHI ya wasanii wa muziki wa kizazi kipya hapa nchini wanatarajia kwenda nchini Kenya kushiriki mkutano ulioandaliwa na ajili ya kutoa elimu kwa wasanii, mkutano utakaofanyika kuanzia Julai 3 hadi 6 mwaka huu. 
 …			
				Kwa Hili Basata Kweli Wanaonea Wasanii?
				Na BONIPHACE NGUMIJE| GAZETI LA IJUMAA| MAKALA
KUMEKUWA na malalamiko mengi kuhusu utendaji kazi wa Baraza la Sanaa Tanzania (Basata). Wasanii wamekuwa wakilalamikia baraza hilo huku wakihusisha baadhi ya uamuzi inayoutoa hasa wa…			
				Baada ya Kuruhusu Wimbo wa Nay upigwe, Mastaa Wampa Big Up Magufuli
				Na  GLADNESS MALLYA| RISASI MCHANGANYIKO| HABARI
DAR ES SALAAM: Saa chache baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli kulitaka Jeshi la Polisi, Kanda Maalum ya Dar es Salaam kumuachia huru, msanii…			
				Uamuzi Wa Rais, Aibu Kwa Basata
				MSANII Emanuel Elibariki ‘Nay Wa Mitego’ ameibua gumzo kubwa kufuatia kukamatwa kwake na kusafirishwa kutoka Turiani mkoani Morogoro hadi Kituo Kikuu cha Polisi Dar es Salaam, kwa kile kinachodaiwa kuwa maelekezo ‘kutoka juu’ kuhusiana…			
				Basata ‘Waupiga Pini’ Wimbo wa Ney wa Mitego, Atakaeusambaza Kukiona
				Na Walusanga Ndaki/GPL
BARAZA la Sanaa Tanzania (BASATA) limeufungia wimbo mpya wa msanii mkali wa kuchana, Ney wa Mitego, unaoitwa
Wapo. Wimbo huo ambao ni mpya na unadaiwa kuwa na maneno yasiyo na maadili kwa jamii.
Mbali ya…			
				#GlobalCelebrityUpdates: Khadija Kopa Afikisha Ujumbe Huu Kwa BASATA- (Video)
				Mama wa mipashao Khadija Kopa ana jambo limemkaa rohoni kwa muda mrefu sana na angependa liwafikie wahusika. Global TV Online imekutana nae na kukufikishia hii exclisively kutoka kwake.
Malkia wa mipasho Tanzania Khadija Kopa hivi…			
				Basata Yawakumbusha Wamiliki Wa Kumbi Za Burudani Kufuata Sheria
				BASATA YAPIGA MARUFUKU DISKO TOTO
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) ambalo ni msimamizi wa sekta ya Sanaa na burudani nchini linawakumbusha wamiliki na waendeshaji wa kumbi za burudani kufuata sheria, kanuni na taratibu walizopewa…			
				Basata Yapiga Marufuku Disco Toto, Kumbi Zisizo na Vibali
				Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) ambalo ni msimamizi wa sekta ya Sanaa na burudani nchini limepiga marufuku kumbi zote za burudani zisizo na vibali kufanya maonesho ya aina yoyote.
Aidha, BASATA linawakumbusha wamiliki na…			
				Basata Yazindua Matukio ya Siku ya Msanii 2016
				Mshereheshaji katika hafla hiyo, Chris Mauki.
 Mgeni rasmi ambaye ni Katibu wa Wizara ya  Habari,  Utamadunim  Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabrel akisikiliza jambo.
Mgeni rasmi akisikiliza jambo kwa Katibu Mtendaji wa Basata…			
				BASATA yaonya wasanii dhidi ya matapeli
				Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) linawataka wasanii wote kuwa makini na wakuzaji Sanaa (Mapromota) au baadhi ya wanaojiita wadau wa Sanaa ambao wamekuwa wakitumia njia za kiulaghai na utapeli katika kujipatia faida na manufaa kupitia…			
				