The House of Social Media
gunners X
Browsing Tag

Ben Pol

Shehe Mkuu Dar amvaa Ben Pol

SHEHE Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salim amemvaa na kumuonya staa wa Bongo Fleva, Benard Paul ‘Ben Pol’ ambaye hivi karibuni zilisambaa picha mitandaoni ikisemekana amebadili dini kutoka Ukristo na kuingia Uislam.…

Uchumba wa Ben Pol watikiswa!

DAR ES SALAAM: “Mitandao ya kijamii imejaa watu wanaotamani kumuona mtu anaharibikiwa kisha wanasherehekea!” Hayo ni maneno ya mchumba wa staa wa Bongo Fleva, Benard Paul ‘Ben Pol’, Anerlisa Muigai akionesha kutikiswa kwa uchumba wao.…

KISHINDO NDOA YA BEN POL

DAR ES SALAAM: Ni kishindo! Kama alivyoahidi mrembo bilionea wa Kenya, Anerlisa Joseph Karanja Muigai kuwa ndoa yake na staa wa Bongo Fleva, Benard Michael Paul Mnyang’anga ‘Ben Pol’ itakuwa ni funiko bovu, mambo yameanza, Risasi…