Mshahara wa Chama Simba ni Kufuru
KESI imeisha sasa! Ndiyo kauli ambayo unaweza kusema baada ya kiungo mshambuliaji wa Simba, Clatous Chama kuamua kusaini mkataba mpya wa miaka mitatu wa kuendelea kubakia klabuni hapo na kuziacha baadhi ya ofa ambazo alizipata.…