×

Tag: Diamond

Harmonize Amjibu Diamond ‘Acha Kulia na Arena’ Watanzania Wanahitaji Maendeleo – Video

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Harmonize, ameibua mjadala mkubwa mitandaoni baada ya kuonekana kujibu kauli iliyotolewa na Msanii nyota...

READ MORE

Tanasha Donna na Diamond Platnumz ‘Mondi’ Wazua Gumzo, Zari Atajwa

ETI umewahi kusikia uhawara hauna talaka? Kwa mbaliiii sanaaaa inawezekana ikawa kweli! Maana ujio wa mwimbaji Tanasha Donna kutua jijini...

READ MORE

Harmonize Kama Diamond Tu! Wachambuzi wa muziki Wafunguka Utunzi wa Mashairi

MSANII wa miondoko ya Bongo Fleva Harmonize ‘Harmo’, anabaki kuwa mmoja wa wanamuziki bora kwa utunzi wa mashairi na ni...

READ MORE

Siri Diamond Kununua Jumba la Kifahari Jirani na Zari Yafichuka

Diamond Platnumz; ni supastaa wa muziki nchini Tanzania ambaye Oktoba 4, 2022, kwa mara ya kwanza alionesha jumba lake la...

READ MORE

Mobeto Atonesha Kidonda cha Diamond Kumburuza Kortini Kwa Mara Nyingine

  Hamisa Hassan Mobeto; ni mwanamama maarufu nchini Tanzania akidaiwa kuwapiku warembo wote mjini ambaye sasa amechafukwa na kutonesha kidonda...

READ MORE

Diamond Ajibu Mapigo Tuhuma za P Funk Kwa WCB, Atoa Tamko Zito

SUPASTAA wa Bongo Fleva ambaye pia ni Mkurugenzi wa lebo ya Wasafi amekanusha tuhuma za kwamba lebo yake inawanyonya wasanii...

READ MORE

CEO wa Lebo ya Wasafi, Diamond Amfuata Zari Kenya …Soma Hapa Kujua Kilichowapeleka

  Diamond Platnumz au Simba wa Tandale; ni staa mkubwa wa muziki barani Afrika akiiwakilisha vyema Tanzania ambaye juzi alitua...

READ MORE

Zuchu Apambania Kombe Kwa Diamond, Aoneshana Mahaba Mazito Bila Woga

  Zuhura Othman wengi wanamjua kama Zuchu; ni malkia mpya wa muziki nchini Tanzania ambaye ameapa kupambania kombe kwa bosi...

READ MORE

Diamond Apiga Shoo ya Kibabe Mwanza, Manara Apanda Stejini – (Picha+Video)

  Usiku wa kuamkia leo Mei 29, 2022 staa wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul “Diamond Platnumz” amefanya shoo yake katika...

READ MORE

Zuchu Ambembeleza Diamond Jukwaani Mwanza, Mahaba Kama Yote.. Video

 Zuchu na Dianond wanepafomu pamoja katika show ya Diamond iliyofanyika usiku Jijini Mwanza, huku mastaa kibao wakihudhuria.. ⚫️ SIKILIZA...

READ MORE

Wanazengo Wamshangaa Hamonize Kuhangaika na Kajala, Diamond Akipenya Ulaya

KAMA ilivyo kawaida, kwenye maisha, kila mtu ana nafasi au zamu yake ya kung’ara na kutaradadi. Ndivyo ilivyo katika maisha...

READ MORE

Baada ya Kusubiri Sana, Diamond Atambulisha Dili la Airtel kama Mpenzi Wake

NYOTA wa Muziki nchini Tanzania na Afrika kwa ujumla Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platinumz usiku wa kuamkia leo ameingia...

READ MORE

Diamond Platnumz Ana Kila Sababu Kujiona Bora

Mwimbaji wa Bongofleva, Diamond Platnumz amesema hapendezwi kushindanishwa na wasanii nchini kutokana na kuwazidi katika maeneo makuu matatu; ambayo ni...

READ MORE

Diamond: Nitafanya Shoo O2 Arena

SUPASTAA wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz amemesa kuwa ndoto yake nyingine kubwa ni kufanya shoo kwenye moja ya kumbi maarufu...

READ MORE

FOA Ya Diamond Mil. 30

Diamond Platnumz; ni nguli wa muziki barani Afrika akitokea Tanzania ambaye anasema kuwa albam yake fupi (EP) ya First Of...

READ MORE

Zari: Sisi Sio Ma-ex Wenye Chuki

  Mwanasoshalaiti na mfanyibiashara mashuhuri kutoka Uganda, Zari Hassan ni mmoja wa watu mashuhuri ambao wameshirikishwa kwenye shoo ya ‘Young,...

READ MORE

Mjadala Waibuka Diamond Namba 3 Afrika, CNN Wamaliza Ubishi

Mjadala mkubwa unaoendelea kwenye Social Networks hivi sasa, ni kuwa Diamond si miongoni mwa wasanii watatu wakubwa barani Afrika, Hizi...

READ MORE

Esma: Sitegemei Pesa Za Diamond

ESMA Khan almaarufu Esma Platnumz; ni dada wa staa wa muziki nchini Tanzania, Diamond Platnumz ambaye baada ya kuwepo kwa...

READ MORE

Siku 5, FOA ya Diamondi Yafikisha Streams Milioni 5 Boomplay

Ndani ya siku 5′ tangu ilipo achiwa rasmi EP’ ya First Of All kutoka kwa mwanamuziki Diamond Platnumz, imefanikiwa kufikisha...

READ MORE

Diamond: Hata Top 100 Haupo, Unataka Kunashindana na Mimi?

Supastaa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz amewataka wasanii wenzake wa Bongo kuungana na kuwa kitu kimoja badala ya kugombana na...

READ MORE

Diamond: Zuchu Hajawahi Kuniangusha, Namuonyesha Upendo

Msanii maarufu nchini, Diamond Platnumz ambaye kwa sasa EP yake ya FOA ndio habari ya mjini, ameeleza kushangazwa kwake na...

READ MORE

Hatimaye Diamond Amjibu Harmonize

Mwanamuziki nyota wa pop nchini, Diamond Platnamuz amemjibu msanii mwenzake aliyekuwa kampuni ya Wasafi, Harmonize kuhusu tuhuma za unyonyaji na...

READ MORE

Diamond: Kama Mrabaha tu Huwezi Kunipa, Tuzo Utanipa ?

Msanii kiongozi katika tasnia ya Bongo Fleva, Diamond Platnumz amesema iwapo hapatiwi mirabaha na Chama cha Hakimiliki Tanzania (COSOTA) itakuwaje...

READ MORE

Diamond: Bongo Hakuna wa Kushindana na Mimi

Taarifa hii ikufikie mpenzi wa buridani kwamba, supastaa wa Boingo Fleva, Diamond Platnumz amedai kuwa kumshindanisha yeye na wasanii wengine...

READ MORE

Diamond: Naweza Kufanya Shoo na Kiba

Supastaa wa muziki Bongo anayetamba na EP yake ya FOA, Diamondp Platnumz kwenye mahojiano na Wasafi FM leo Machi 14,...

READ MORE

Diamond: Najijua kwa kuchiti

Diamond Platnumz; ni superstar wa muziki kutoka nchini Tanzania ambaye ametoa albam fupi (EP) yake ambayo ilikuwa imesubiriwa inayokwenda kwa...

READ MORE

EP ya Diamond ni Moto, Yaachiwa Kwa Kishindo! – Video

Usiku wa kuamkia leo Ijumaa Machi 11, 2022, Diamond Platnumz ameachia albam fupi (EP) yake ya First Of All (FOA)...

READ MORE

Harmonize Amtibulia Mondi Tena

FAHAMU kwamba, Diamond Platnumz ambaye ni supastaa wa muziki barani Afrika akitokea Tanzania amesogeza mbele tarehe ya kuachia albam yake fupi...

READ MORE

FOA ya Mondi, Madee na Roma watia neno

Madee au Rais wa Manzese Music na Roma Mkatoliki, wamekuwa ni watu wa kutaniana mno kiasi kwamba kama hujui ni...

READ MORE

Ifahamu FOA ya Diamond

SUPASTAA wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz; ni brandi kubwa kwenye muziki wa Afrika akiiwakilisha vyema Tanzania. Baada ya kusumbua vichwa...

READ MORE

Diamond Amkimbia Harmonize

Diamond Platnumz ni supastaa wa muziki nchini Tanzania ambaye alipanga kuachia albam take fupi (EP) leo Machi 4, 2022, lakini...

READ MORE

Mondi Akiri Kuchezea Wanawake

SUPASTAA wa muziki nchini Tanzania, Nasibu Abdul almaafuru Diamond Platnumz amesikika akijipiga kifua na kukiri kuwa ana uwezo mkubwa wa...

READ MORE

Wafahamu Mastaa Waliowahi Kutumia Bendera ya Ubaguzi wa Rangi

ISHU ya Msanii Wakazi kumtaka Diamond Platnumz kurekebisha sehemu ya video yake ya Gidi ambayo inamuonyesha yupo sehemu ambayo kuna...

READ MORE

Diamond Apambana Na Hali Yake

SUPASTAA wa muziki nchini Tanzania, Diamond Platnumz anapambana na hali yake baada ya kuendelea kushambuliwa kutokana na video ya wimbo...

READ MORE

Diamond, Zuchu waacha maswali kwa yasiyo na majibu

MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Zuhura Othman ‘Zuchu’ aliwaacha mashabiki wake katika maswali baada ya kuingia kwenye onesho lake...

READ MORE

Diamond: Nipo Kwenye Mahusiano Yanayonipa Raha

SUPASTAA wa Bongoflava Naseeb Abdul Juma almaarufu kama Diamond Platnumz amefichua kwamba tayari amepata penzi tena na kwa sasa yuko...

READ MORE

H Baba Alikuwa Kwa Harmonize Kimchongo

MKONGWE wa Bongo Fleva, H Baba ametangaza kuachana na kushabikia au kuwa chawa wa Lebo ya Konde Gang chini ya...

READ MORE

Diamond Amkabidhi Kijana mil 20 “Hakuna Janja Janja”

Leo Februari 14, 2022 Diamond Platnumz amemkabidhi mshindi wa Jackpot ya Kampuni ya Wasafi Bet kitita cha Milioni 20 katika...

READ MORE

Diamond Atamba na Miwani ya Milioni 8

SUPASTAA mkubwa wa muziki barani Afrika, Diamond Platnumz ametamba kununua miwani ya bei mbali ya zaidi ya shilingi milioni 8...

READ MORE

H Baba Amnyoshea Mikono Mondi “Kaupiga Mwingi, Umeuaaa!”

BAADA ya Supastaa wa Muziki wa Bongo Fleva, Nasib Abdul maarufu Diamond Platnumz kuingia kwenye rekodi ya kuwa msanii wa...

READ MORE