Harmonize Kwenye Jukwaa la Fiesta, Agoma Kumtaja Mondi – Video
HIT MAKER wa ngoma ya UNO, Harmonize au Konde Boy amefanya shoo ya aina yake iliyoandika historia kwa mara ya kwanza akipanda na kufanya shoo kubwa kwenye Jukwaa la Fiesta usiku wa kuamkia leo, Jumatatu, desemba 9, 2019.
…