JUICE YA BUKU YAMUACHA HOI MISS MOROGORO – VIDEO
MISS Morogoro 2018, Amne Kubri amefunguka kuwa, juisi ya Kingdom inayotengenezwa kwa matunda halisi Bongo, ina utamu uliopitiliza hivyo anawashauri warembo wenzake pamoja na Watanzania kwa ujumla kuitumia ili wajionee utofauti.
…
