Kikwete Akutana na Mabilionea, Aliko Dangote na Bill Gates
Rais Mstaafu Jakaya Kikwete (kushoto), Alhaji Aliko Dangote (katikati) na Bill Gates (kulia).
Rais wa awamu ya nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete amepata nafasi ya kukutana na mabilionea wawili wakubwa…
