The LiFe Club ‘Maisha Basement’ Kuzinduliwa Usiku wa Leo Ijumaa Dar
Klabu maarufu ya burudani ya The Life Club 'Maisha Basement' leo Ijumaa usiku inazinduliwa upya kwenye makao yake mapya yaliyohamishiwa katika ukumbi Mwenge Old Cinemax Century jijini Dar es Salaam. Zamani Klabu hiyo ilikuwa na maskani…
