The House of Favourite Newspapers

Skylight yapagawisha mashabiki Maisha Basement

0

1

Waimbaji wa Skylight Band wakipagawisha mashabiki waliojitokeza ukumbi wa Maisha Basement uliopo Kijitonyama jijini Dar es Salaam, usiku wa kuamkia leo.

2

Muimbaji Sone Massamba (katikati), akiongoza burudani ya kuwafurahisha mashabiki wake.

3

Waimbaji wa Skylight Band wakiimba kwa hisia kali.

4

Badhi ya mashabiki wa bendi hiyo wakicheza kwa staili ya pamoja.

5

Sone Massamba akiwaonyesha mashabiki staili ya kucheza moja ya nyimbo zaa bendi hiyo.

6

Mashabiki wakijaribu kuiga staili walizoonyeshwa.

7

Wakionyesha uelewa baada ya kufundishwa kucheza.

Habari/Picha: Musa Mateja/GPL.

Leave A Reply