×

Tag: Makonda

RC Makonda Arudi Ofisini Arusha Kimyakimya Bila Mbwembwe – Video

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda Agosti 15, 2024 amerudi ofisini kwake kimyakimya baada ya tetesi kuwa kapewa...

READ MORE

RC Makonda Akabidhi Milioni 38 Kwa Washindi Wa Samia Motocross Championship (Picha +Video)

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda Julai 14, 2024 amekabidhi jumla ya fedha taslimu shilingi Milioni 38 za...

READ MORE

Mtoto Darasa La Nne Adai Kubakwa Na Bodaboda, Afika Kwa Makonda – Video

Bibi ameongea kwa uchungu mbele ya mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda kuwa mjukuu wake amebakwa na aliyembaka baada...

READ MORE

RC Makonda Aagiza Takukuru Kufanya Uchunguzi Tuhuma Za Rushwa Kwa Watumishi Wa Jiji La Arusha – Video

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na rushwa TAKUKURU Mkoa wa Arusha...

READ MORE

Makonda Kusakwa

MWANAHABARI mkongwe nchini Tanzania, Saed Kubenea, anakusudia kuiomba Mahakama ya Kinondoni, itoe wito mpya kwa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa...

READ MORE

Mahakama Yaruhusu Makonda Kufunguliwa Kesi ya Jinai

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imeruhusu kufunguliwa kwa kesi ya jinai dhidi ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa...

READ MORE

Omondi Aomba Mashabiki Wasihudhurie Tamasha la Kiba, Harmo Kenya

Zikiwa zimebaki siku chache kufanyika kwa tamasha la Afro Vasha nchini Kenya, huku wasanii kutoka Tanzania Alikiba na Harmonize wakiwa...

READ MORE

Kubenea Aondoa Ombi la Kumshitaki Makonda Mahakamani

Mahakama ya Hakimu mkazi Kinondoni imeridhia ombi la mawakili wa Mwandishi wa Habari, Said Kubenea la kuondoa maombi ya kuwashtaki...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra na Jarida la Hot Pot kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra na Jarida la Hot Pot kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania...

READ MORE

Makonda: Sio Lazima Kuteuliwa

ALIYEKUWA mkuu wa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema kwa sasa sio lazima ateuliwe au apigiwe...

READ MORE

Kauli ya Makonda Baada ya Kumuaga JPM

ALIYEKUWA kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameonyesha kuumizwa zaidi na msiba wa aliyekuwa Rais wa...

READ MORE

Makonda Amuaga Hayati Magufuli – Video

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameungana na wakazi wa jiji la Mwanza na mikoa ya...

READ MORE

Mwanza: Makonda Afika CCM Kirumba Kumuaga Magufuli – Video

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameungana na wakazi wa jiji la Mwanza na mikoa ya...

READ MORE

Makonda, Gwajima Wakutana kwa Pengo

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda pamoja na Mgombea wa Ubunge Jimbo la Kawe Askofu Gwajima...

READ MORE

Makonda Apata Watoto Mapacha, Asema Aliitwa Tasa

ALIYEKUWA Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda,  na mkewe, Maria,  wamepata watoto wengine wawili ambao ni mapacha...

READ MORE

Vijana Hawa Watapata Tabu

MCHAKATO wa uteuzi wa wagombea ubunge ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), umefikia tamati Agosti 20 mwaka huu kwa kushuhudia...

READ MORE

Vigogo CCM Waliokatwa Wamtaja Mungu

Siku chache baada ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwakata baadhi ya wagombea ubunge wengi wakiwa...

READ MORE

Kauli ya Makonda Baada ya Kukosa Ubunge

Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi imetangaza wateule wa nafasi za Ubunge kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28 huku jina...

READ MORE

Makonda: Walibweka Kama Mbwa Mwitu, JPM Akaziba Masikio – Video

ALIYEKUWA Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, leo Jumatatu, Agosti 3, 2020, amekabidhi ofisi kwa Mkuu wa...

READ MORE

Makonda Aanika Akavyoishi Mtaani Baada ya Kuwa RC – Video

ALIYEKUWA Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amekabidhi rasmi ofisi hiyo kwa Mkuu wa Mkoa Mpya wa...

READ MORE

Zoezi Makonda Kukabidhi Ofisi Laahirishwa

ZOEZI lililopangwa kufanyika leo Agosti 1, 2020, la aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda,  kukabidhi rasmi ofisi kwa ...

READ MORE

Ndugulile Amshinda Makonda Kura za Maondi Kigamboni

ALIYEKUWA Aliyekuwa Naibu Waziri wa Afya na Mbunge wa Jimbo la Kigamboni ambaye anawaia kutetea kiti chake, Dkt. Faustine Ndugulile...

READ MORE

Breaking News: Rais Magufuli Atengua Uteuzi wa RC Makonda

Rais Dkt. John Magufuli amemteua Aboubakar Kunenge kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar akichukua nafasi ya Paul Makonda. Kabla ya...

READ MORE

Makonda Ampokea DC Gondwe, Ampa Maelekezo – Video

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amempokea mkuu mpya wa Wilaya ya Temeke, Godwin Gondwe, na kumpa...

READ MORE

Makonda: Mwizi Akikamatwa Apigwe Kipigo Kizito

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam,  Paul Makonda, amemwelekeza Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam,  Lazaro...

READ MORE

Makonda Akagua Ujenzi Stendi ya Mbezi Louis, Atoa Maagizo

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda amemuelekeza Mkandarasi wa Ujenzi wa Stand mpya ya mabasi ya...

READ MORE

Makonda Atoa Saa 24 kwa Wabunge ‘Wanaozurura’ Dar – Video

MKUU wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda,  leo Mei 6, 2020, ametoa Saa 24 kwa wabunge wote waliokimbia...

READ MORE

Makonda Amweleza Kigwangalla “Achana na Mitandao”

MKUU wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amemshauri Waziri wa Maliasili na Utali, Dk. Hamis Kigwangalla kuchapa kazi...

READ MORE

Corona: Wasafiri Kutoka Nje Wapelekwa Karantini UDSM

SERIKALI imetangaza rasmi kuwa wasafiri wote kutoka nchi zilizoathirika na ugonjwa wa virusi vya Corona, watalazimika kukaa karantini kwa muda...

READ MORE

Corona: Mnajifungia, Ugonjwa Wenyewe Virusi? Tokeni Mkafanye Kazi – Video

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amewashangaa baadhi ya wananchi wa mkoa huo waliofunga biashara zao kisha...

READ MORE

Makonda: Bodaboda, Bajaji Ziingie Mjini

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul makonda leo April Mosi ameruhusu Pikipiki na Bajaji kuingia katikati ya...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Risasi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Risasi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani ya nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Makonda Aagiza Dar Ipuliziwe Dawa Kudhibiti Corona

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameagiza kupulizwa dawa katika maeneo mbalimbali ya mkoa huo kuanzia leo,...

READ MORE

Makonda: Mtoto wa Mbowe ana Corona – Video

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema Mwenyekiti Chadema Taifa, Freeman Mbowe amesitisha mpango wake wa kuitisha...

READ MORE

Makonda Ampa Maagizo Mkandarasi wa Mwendokasi ya Mbagala

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam,  Paul Makonda, amemtaka mkandarasi wa mradi wa ujenzi wa Barabara ya Mabasi ya...

READ MORE

Makonda: Wanaume Wakatwe 40% ya Mishahara Yao Wapewe Wake Zao

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema anatarajia kupeleka muswada binafsi bungeni, kutaka itungwe sheria ambayo itamka...

READ MORE

Makonda Kula Sahani Moja na Wakandarasi “Janjajanja” Dar

Kufuatia kuendelea kuwepo kwa wakandarasi wanaosuasua katika ukamilishaji wa miradi ya kupunguza kero kwa Wananchi, Mkuu wa Mkoa wa Dar...

READ MORE

Makonda: Nitapambana na Zitto Kabwe

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amesema kuwa hana mashaka na kuwa Rais Magufuli ataendelea kushikilia nafasi...

READ MORE

Biashara Kufanyika kwa Saa 24 Kariakoo – Video

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amewataka Viongozi wa Mkoa wa Dar es Salaam kushikamana na kufanya...

READ MORE