Mtoa Roho Maarufu Njombe Akamatwa
Polisi Mkoani Njombe wanamshikilia Israel Msigwa maarufu kwa jina la Mtoa Roho (39) Mkazo wa Makambako kwa tuhuma za kumsababishia kifo Mtoto wake Haskad Msigwa (7) kwa kumuadhibu kwa nyaya za umeme na fimbo kwa sababu amekojoa…
