Miaka Minne Ndani ya Mapango ya Amboni-49
ILIPOISHIA
Tulipofika Bagamoyo niligundua kuwa azma yangu ya kurudi Uingereza haraka inaweza kuzuiwa na makubaliano yangu na Faiza. Nilijua kuwa ingenigharimu lakini sikujali sana kwa sababu ya historia iliyotukutanisha mimi na Faiza…
