The House of Favourite Newspapers
Browsing Tag

mimba

Baba Adaiwa Kumpa Mimba Binti Yake

Mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari Tumaini wilayani Iramba mkoani Singida, amesimamishwa masomo baada ya kubainika kuwa na ujauzito anaodai kupewa na baba yake wa kambo, Abdallah Itambu anayekadiriwa kuwa na umri wa…

Nandy Mjamzito?

MALKIA wa muziki wa Bongo Fleva Afrika Mashariki, Nandy The African Princess ameendelea kutrendi na tetesi za kuwa mjamzito kwa wiki kadhaa sasa. Inasemekana kuwa, Nandy au Nandera alionekana tofauti alipokuwa akizindua lipstick zake…

Mjamzito Feki Aumbuka

KUNA methali moja ya Kiswahili isemayo; “Hakuna anayemshinda mwanaume kama mwanamke!” Hii imedhihirika katika Soko la Memorial mjini Moshi mkoani Kilimanjaro hivi karibuni kwa mwanamke ambaye alifahamika kwa jina moja la…

Wajawazito Watafuta Wanaume Bandia

KINA mama wajawazito wilayani Kilindi mkoani Tanga wamewalalamikia wanaume wanaowapa ujauzito kukwepa kwenda kliniki kupima afya zao kama kanuni zinavyodai hali inayopelekea wakina mama hao kutafuta wanaume wengine kwenda nao…

Mimba ya Aunt Hatarini!

KITENDO cha staa wa filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel kunaswa ‘club’ ya starehe ya usiku akigida pombe za hatari ilihali ni mjamzito wa kujifungua muda wowote, kimeibua gumzo kubwa juu ya hatari ya kuchoropoka kwa mimba hiyo. …

Bosi Amzalisha Denti, Atoweka!

MFANYABIASHARA aliyefahamika kwa jina la Hassani Katundu, ambaye ametajwa kama bosi kwenye miradi yake, anadaiwa kumpa mimba na kumzalisha mwanafunzi wa kidato cha tatu mwaka huu katika Shule ya Msingi Miburani iliyopo Temeke…