Watu 11 Wakiwemo Raia Watatu wa Kigeni Wafariki Morogoro Leo
Watu 11 wakiwemo raia watatu wa kigeni wamefariki dunia na wawili kujeruhiwa baada ya mtambo wa kuzalisha mvuke katika kiwanda cha sukari cha Mtibwa mkoani Morogoro kupata hitilafu.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, SACP Alex Mkama…
