Mara: Aliyekaa Mochwari Miezi 8 Azikwa – Video
MWILI wa marehemu mzee Wilson Ogeta Owit ( 89) mkazi wa Kijiji cha Nyambogo wilayani Rorya mkoani Mara umeshindikana kuzikwa kwa miezi 8 kwa kusalia katika chumba cha kuhifadhia maiti Utegi kutokana na mgogoro wa ardhi baina ya…