The House of Favourite Newspapers
Browsing Tag

Navy Kenzo

AIKA AMPIGA BITI NAHREEL

MWANAMAMA mkali kunako Bongo Flevani, Aika Mariale amempiga bonge la biti mzazi mwenzake, Emmanuel Mkono ‘Nahreel’ akimwambia afanye yote, lakini akimchiti atakiona cha mtema kuni. Aika ambaye anaunda Kundi la Navy Kenzo…

Nahreel na Aika Wapata Mtoto

WASANII wanaounda kundi la Navy Kenzo, Nahreel na Aika  ambao pia ni wapenzi wamejaliwa kupata mtoto. Kupitia kurasa zao za mtandao wa Instagram wameeleza furaha yao mara baada ya kupata mtoto huyu. Nahreel ameandika; #Gold z…

Nahreel Na Aika Kimeelewekaaa!

NAVY Kenzo kruu ya watoto wa kishua katika Afrika Mashariki, inaundwa Emmanuel Mkono ‘Nahreel’ na Aika Mareale. Mbali na kufanya Bongo Fleva katika level za juu, pia wanamiliki lebo ya The Industry iliyowahi kuwasainisha…

Studio Zimekuwa Dili

MAKALA: BONIPHACE NGUMIJE | UWAZI | SHOWBIZ SUALA la wanamuziki Bongo kumiliki studio sikuhizi si geni kabisa. Tofauti na zamani walipokuwa ‘wanahustle’ kwenye studio za watu wasainishwe kwenye ‘lable’ ili kurekodi nyimbo zao ama…