The House of Favourite Newspapers
Browsing Tag

Odama

ODAMA: MUDA WA KUOLEWA BADO

LICHA ya umri kuonekana kuanza kumtupa mkono, muigizaji mkongwe Bongo Movies, Jennifer Kyaka ‘Odama’ amefunguka kuwa, hababaishwi na ndoa ambazo wanafunga baadhi ya mastaa wenzake kwani wakati wake ukifika naye atafunga.   …

Ukimtaka Odama Fanya Hivi!

USIHANGAIKE sana kutaka urafiki na Staa wa Filamu za Kibongo, Jennifer Kyaka ‘Odama’, ukijitenga na umbeya tu umempata kirahisiii! “Katika maisha yangu nawapenda sana watu ambao hawafuatilii mambo ya wengine, wako bize na yao, hata…

Odama Apangua Skendo Ya Kujitenga

MSANII wa filamu mwenye uwezo mkubwa awapo mbele ya kamera, Jennifer Kyaka ‘Odama’, amepangua ishu ya kuonekana anajitenga na wasanii wenzake ambapo kila mara anaonekanakivyakevyake tofauti na wasanii wengine. Odama ameiambia Kilinge…

Odama kumuanika baba wa mtoto soon!

Staa wa filamu Bongo, Jennifer Kyaka ‘Odama’ Na Suzan Kayogela. BAADA ya kukataa katukatu kumuanika baba wa mtoto, staa wa filamu Bongo, Jennifer Kyaka ‘Odama’ kwa mara ya kwanza amesema mwaka mpya na mambo mpya na kuwa sasa yupo tayari…