Papa Francis asisitiza serikali za Ulaya lazima zifanye zaidi kuwahudumia wahamiaji
Papa Francis ametoa wito kwa mataifa ya Ulaya kuonesha uvumilivu zaidi kwa wahamiaji wakati wa ziara yake katika mji wa kusini mwa Ufaransa wa Marseille.
Akizungumza katika mkutano wa maaskofu na vijana kutoka nchi za Mediterania,…