Dude: Hali Ngumu Imenipoteza Nimeamua Kulima
				STAA wa filamu za Kibongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ ameeleza kuwa kutokana na hali ngumu ya maisha na soko la filamu kuwa gumu amejikuta akiwa kimya na kugeukia kwenye kilimo cha mpunga. 
 
Akipiga stori na Risasi Jumamosi, Dude…			
				 
			